Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Vælg format:

Lydbog

29,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Sarah Skov

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba. Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu. Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba. Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa." Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi. Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo. Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu. Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake. Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake. Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza... Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki. Sara Skovi ni jina bandia la mwandishi mdogo mwanamke. Pia ameandika hadithi fupi za mapenzi Shauku ya Owen Grey, Mapenzi ya kwenye Gari, Kumbukumbu zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanaume.

Detaljer

Serie
Forlag
LUST
ISBN
9788726270938
Sprog
swa
Originaltitel
Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Udgivelsesdato
27-09-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
33926 KB
Varenr.
2686973
EAN nr.
9788726270938
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger
  • Skønlitteratur og relaterede emnerErotisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteraturModerne kærlighedshistorier
  • Kvalifikator for aldersniveau og interesserIndeholder eksplicit materiale
  • Anmeldelser af Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Mediernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Se detaljer her