Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

FC Mezzi 1: Mapumziko

FC Mezzi 1: Mapumziko

Vælg format:

E-bog

9,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af FC Mezzi 1: Mapumziko af Daniel Zimakoff

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! Jake, Nick, and Peter ni marafiki wakubwa. Wanapenda mpira wa miguu na wanacheza katika kilabu kimoja. Jake na Nick wanaingia ligi daraja la kwanza. Walikuwa na shauku kubwa! Walianzia nje kwenye michezo miwili ya kwanza, lakini Jake hakucheza sana kwenye mchezo wa kwanza. Na wakati zimesalia dakika kumi tu za mchezo wa pili, bado alitakiwa kucheza. Huu ni wakati ambao Jake anafanya maamuzi makubwa. Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254686
Sprog
swa
Originaltitel
FC Mezzi 1: Mapumziko
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
80 KB
Varenr.
2725049
EAN nr.
9788726254686
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger

Anmeldelser af FC Mezzi 1: Mapumziko

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her