Bog & idé

Ronin 1 - Upanga

0.0
Swahili
Mvulana anaamka katikati ya msitu. Hajitambui au kutambua jinsi alivyofika pale. Kwa usaidizi wa watu tofauti na wanyama, na pia mkuki ulio na uwezo wa kipekee, Ronin huyu anapitia matukio mengi. Waka...

E-bog

9,95 DKK

Forlagsbeskrivelse af Ronin 1 - Upanga af Jesper Nicolaj Christiansen

Mvulana anaamka katikati ya msitu. Hajitambui au kutambua jinsi alivyofika pale. Kwa usaidizi wa watu tofauti na wanyama, na pia mkuki ulio na uwezo wa kipekee, Ronin huyu anapitia matukio mengi. Wakati ambapo kijiji kinahitaji ulinzi wake, lazima ajifunze kupigana kwa heshima ya wakulima anaowaokoa, na kwa ajili yake mwenyewe. Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani. Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

Uddrag

Læs uddrag

Ronin 1 - Upanga

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254693
Sprog
Swahili
Originaltitel
Ronin 1 - Upanga
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
79 KB
Varenr.
2725074
EAN nr.
9788726254693
Varegruppe
Lydbøger

Anmeldelser Ronin 1 - Upanga

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her

Uddrag

Læs uddrag

Ronin 1 - Upanga