Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Vælg format:

Lydbog

19,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Andrea Hansen

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama. Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? " Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki. Andrea Hansen huandika hadithi fupi za mapenzi na ni mwandishi mwenza wa mkusanyiko wa hadithi fupi wa Denmark "Udsøgt".

Detaljer

Serie
Forlag
LUST
ISBN
9788726270914
Sprog
swa
Originaltitel
Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Udgivelsesdato
27-09-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
16694 KB
Varenr.
2686951
EAN nr.
9788726270914
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger
  • Skønlitteratur og relaterede emnerErotisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteraturModerne kærlighedshistorier
  • Kvalifikator for aldersniveau og interesserIndeholder eksplicit materiale
  • Anmeldelser af Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Mediernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Se detaljer her