Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

Vælg format:

Lydbog

29,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha af Inger Gammelgaard Madsen

Habari mpya katika kesi hii inamfanya Roland kuangalia tena mauaji ya mlinzi yule wa jela. Kwa sasa ana uhakika kuwa anamfahamu Uwe Finch na anaamua kumfahamisha Anne Larsen. Anne ndiye alipata michoro ya vidole vya Uwe Finch, na kwa muda uliopita, Roland ametambua kuwa Anne anaweza kuwa mtu wa msaada mkubwa katika uchunguzi wa polisi. Bertram anashtuka kutambua kilichomfanyikia mama yake ila kwa mara moja Anne Larsen, mwanahabari kutoka TV2 East Jutland, anafika. Bertram anaangua kilio mbele ya Anne huku akimueleza mambo yote na Anne anamuambia kuwa wanahitaji kuondoka mara moja. Ila muda umeyoyoma. Wakati Roland anasikia kuhusu kifo kipya kupitia redio ya gari lake anahofia kuwa huenda Anne Larsen ako hatarini pia na anajaribu kumpigia simu ila hapati majibu. Anapopokea simu, anatumai kuwa ni Anne ila inageuka na kuwa ni Leif Skovby, ofisa mmoja katika kesi ile ya mauaji. Leif anataka kuonana naye Roland, na kile anachomwambia kinafanya mambo yote kubainika. Roland anamtumia ofisa huyu kumsaidia kupata simu ya Anne ila, je, Roland atampata Anne kabla ya muda kuyoyoma? The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita. Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726270846
Sprog
swa
Originaltitel
Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha
Udgivelsesdato
27-09-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
61887 KB
Varenr.
2686966
EAN nr.
9788726270846
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger
  • Skønlitteratur og relaterede emnerKrimier og mysterier
  • Skønlitteratur og relaterede emnerThrillere / spændingsromaner
  • Kvalifikatorer: geografiEuropaNordeuropa, SkandinavienDanmark
  • Anmeldelser af Mnadhifishaji Tukio la 6: Kunadhifisha

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Mediernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Se detaljer her