Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha

Vælg format:

Lydbog

29,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha af Inger Gammelgaard Madsen

Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa. Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake alishikwa baada ya kutekeleza mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwenye jela. Siku moja Bertram anaiba jaketi ya bei ghali iliyotengenezwa kwa ngozi kwenye mkahawa ambao mama yake anafanya kazi. Anapata kitu kilichofichwa katika mfuko ulijificha chini ya bitana ya jaketi ile. Hili linaishia kutokea kwa maafa na sio kwa Bertram tu. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita. Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726270891
Sprog
swa
Originaltitel
Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha
Udgivelsesdato
27-09-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
63337 KB
Varenr.
2686935
EAN nr.
9788726270891
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger
  • Skønlitteratur og relaterede emnerKrimier og mysterier
  • Skønlitteratur og relaterede emnerThrillere / spændingsromaner
  • Kvalifikatorer: geografiEuropaNordeuropa, SkandinavienDanmark
  • Anmeldelser af Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Mediernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Se detaljer her