Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

0.0
Swahili
Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo al...

Lydbog

19,95 DKK

Forlagsbeskrivelse af Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya af Inger Gammelgaard Madsen

Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo alikuwa amehukumiwa kufungwa jela. Baba yake wakili huyu wa utetezi ambaye alikuwa jaji wa mahakama ya juu ametoweka na hajapatikana alipo. Anne yupo kwenye jela ili kumhoji askari jela kuhusiana na mfungwa aliyefariki kutokana na kunywa dawa kupita kiasi, wakati Patrick Asp kwa usiri anaweza kumpa barua. Patrick Asp ameandika kuwa alifungwa kimakosa na kuwa mke wake alihusika katika kufanya hivi. Anne anamtafuta mwanamke huyu kwenye mkahawa anaoufanyia kazi. Pia anakutana na mwana wa mwanamke huyu, ndiye Bertram, na Anne anahisi kwamba wawili hawa wanaficha jambo. Kuna jambo lenye shauku kuhusu Uwe Finch pia, mwanamume ambaye mamake Bertam ana uhusiano naye. Anaonekana kama anayeficha kujitambua kwa hakika, na Anne anawasiliana na Roland Benito ili kutafuta msaada wake katika kutambua mwanamume huyu anaweza kuwa ni nani haswa. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita. Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Uddrag

Prøvelyt

Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

Detaljer

Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726270860
Sprog
Swahili
Originaltitel
Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya
Udgivelsesdato
29-10-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
69465 KB
Varenr.
2692809
EAN nr.
9788726270860
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier Klik på en kategori for at se lignende bøger

  • Skønlitteratur og relaterede emnerKrimier og mysterier
  • Skønlitteratur og relaterede emnerKrimier og mysterierPolitiromaner
  • Skønlitteratur og relaterede emnerThrillere / spændingsromaner
  • Kvalifikatorer: geografiEuropaNordeuropa, SkandinavienDanmark
  • Anmeldelser Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger

    Uddrag

    Prøvelyt

    Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

    Andre fandt også inspiration i

    Flere produkter, som fanger nysgerrigheden hos andre kunder
    Inden året er omme
    Inden året er ommeLea Korsgaard
    179,95 DKK
    Lydbog
    (12)
    Inden året er omme
    Influenza
    InfluenzaTobias Hamann
    189,95 DKK
    EBOG
    Influenza
    Mavero
    STREAM
    MaveroHelene Weinkouff Barsøe
    119,95 DKK
    Lydbog
    Mavero
    De 3 principper
    STREAM
    De 3 principperNatasha Swerdloff
    179,95 DKK
    Lydbog
    (1)
    De 3 principper
    Begavet?
    Begavet?Lise Varnum
    119,95 DKK
    EBOG
    Begavet?
    Jeg ser på fugle
    STREAM
    Jeg ser på fugleMorten D.D. Hansen
    179,95 DKK
    Lydbog
    Jeg ser på fugle
    Project Hail Mary
    STREAM
    Project Hail MaryAndy Weir
    219,95 DKK
    Lydbog
    (18)
    Project Hail Mary
    Ibsens Mad
    Ibsens MadMette Ibsen
    139,95 DKK
    EBOG
    Ibsens Mad
    Afdelingen for magisk tænkning
    STREAM
    Afdelingen for magisk tænkningMorten Münster
    179,95 DKK
    Lydbog
    (13)
    Afdelingen for magisk tænkning
    Tænk ikke på en lyserød elefant
    STREAM
    Tænk ikke på en lyserød elefantJan Hellesøe
    149,95 DKK
    Lydbog
    (13)
    Tænk ikke på en lyserød elefant