Bog & idé

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

0.0
Swahili
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la...

E-bog

9,95 DKK

Forlagsbeskrivelse af Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu af Peter Gotthardt

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi ShupavuMoyo wa JabaliMakaburi YaliyosahaulikaFilimbi ya KichawiPeter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

Uddrag

Læs uddrag

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Læs uddrag

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254594
Sprog
Swahili
Originaltitel
Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
242 KB
Varenr.
2724918
EAN nr.
9788726254594
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier Klik på en kategori for at se lignende bøger

Anmeldelser Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her

Uddrag

Læs uddrag

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Læs uddrag

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu