Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Vælg format:

E-bog

9,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika af Peter Gotthardt

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa? Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. nnGotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254570
Sprog
swa
Originaltitel
Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
120 KB
Varenr.
2724926
EAN nr.
9788726254570
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger

Anmeldelser af Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her