Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali
0.0
( 0 )
Swahili
En del af Elverfolkets skæbne
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mkwamba unataka kusaidia wakat...Forlagsbeskrivelse af Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali af Peter Gotthardt
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mkwamba unataka kusaidia wakati wa mapigano dhidi ya maadai wa Vibwengo. Lakini Deizi hakufikiria kuwa ni mkubwa vya kutosha. Mkwamba haujakata tamaa. Pamoja na Mzaha, Kijana wa Zimwi aliinyemelea kambi ya adui. Walikuwa na mpango. Lakini wataweza kuendelea kujificha dhidi ya Makonde ya Chuma na majitu ya kutisha ya mfalme? Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi ShupavuMoyo wa JabaliMakaburi YaliyosahaulikaFilimbi ya KichawiPeter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. Gotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.
Detaljer
Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254587
Sprog
Swahili
Originaltitel
Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
221 KB
Varenr.
2724975
EAN nr.
9788726254587
Varegruppe
Lydbøger