Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Ronin 1-5

Ronin 1-5

Vælg format:

E-bog

19,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Ronin 1-5 af Jesper Nicolaj Christiansen

RONIN 1 - UPANGA Mvulana anaamka katikati ya msitu. Hajitambui au kutambua jinsi alivyofika pale. Kwa usaidizi wa watu tofauti na wanyama, na pia mkuki ulio na uwezo wa kipekee, Ronin huyu anapitia matukio mengi. Wakati ambapo kijiji kinahitaji ulinzi wake, lazima ajifunze kupigana kwa heshima ya wakulima anaowaokoa, na kwa ajili yake mwenyewe. RONIN 2 - UTA Ronin anakutana na rafiki wa zamani na anaanza kujifunza kwa kutumia sensei wake, ambapo anajifunza kuwa hakuna lisilowezekana. Matukio yake yanakuwa mengi anapokuwa akiwatetea wanyonge na akiutumia uwezo wake vyema. Ronin anajifunza mengi kuhusu yeye mwenyewe, na inawezekana, pia kuhusu anakotoka. RONIN 3 - MKUKI Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali mengi zaidi yanaibuka. Katika tukio la hivi karibuni, Ronin alikaribia kujua yeye ni nani na jinsi gani anaweza kuwasaidia wale wote anaowajali sana. RONIN 4 - KUCHA Ronin anaendelea na safari yake ya kuelekea Meifumado. Njiani, anashambuliwa na maadui ambao ni waovu zaidi kuliko chochote ambacho aliwahi kukutana nacho. Akiungana na marafiki zaidi, analazimika kufanya uamuzi mgumu na kuvishinda vikwazo vyake vigumu zaidi. RONIN 5 - KUONYESHA Katika sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ronin, Ronin anasafiri kwenda Meifumado kukutana na hatima yake na kuyaokoa maisha ya Azami. Ni kwa kupigana na Kivuli cha Mfalme na jeshi lake la mapepo wabaya ambapo Ronin anajifunza kuhusu mambo yake ya kale, familia yake na jinsi anavyoweza kutenda kulingana na jinsi alivyo na jinsi anavyoamini. Katika hali ngumu zaidi, lazima Ronin akumbuke jinsi shujaa wa kweli anavyopaswa kuwa. Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani. Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726316117
Sprog
swa
Originaltitel
Ronin 1-5
Udgivelsesdato
22-11-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
88 KB
Varenr.
2725065
EAN nr.
9788726316117
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger

Anmeldelser af Ronin 1-5

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her

Andre har også kigget på

✓ Gebyrfrit medlemskab | ✓ Gratis levering for medlemmer | ✓ 365 dages byttegaranti
HjerneRo
HjerneroMartin Riis Kastrup
169,95 DKK
Lydbog
(1)
Hjernero
Et lille liv
STREAM
Et lille livHanya Yanagihara
129,95 DKK
Lydbog
(50)
Et lille liv
Et lille liv
Et lille livHanya Yanagihara
129,95 DKK
EBOG
(50)
Et lille liv
Dune
DuneFrank Herbert
189,95 DKK
EBOG
(0)
Dune
Dit selvhelbredende sind
STREAM
Dit selvhelbredende sindMette Louise Holland
139,95 DKK
Lydbog
(26)
Dit selvhelbredende sind
11%
11%Maren Uthaug
169,95 DKK
EBOG
(175)
11%
Vanedyr
VanedyrNicklas Brendborg
199,95 DKK
Lydbog
(5)
Vanedyr
Løgner
LøgnerKim Faber & Janni Pedersen
179,95 DKK
Lydbog
(2)
Løgner
Samme dag næste år
STREAM
Samme dag næste årDavid Nicholls
129,95 DKK
Lydbog
(2)
Samme dag næste år
Send mere sex
STREAM
Send mere sexAnne-Grethe Bjarup Riis
149,95 DKK
Lydbog
(17)
Send mere sex