Bog & idéBøgerLydbøgerBillige lydbøger

Mchezo na Bw. X - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Mchezo na Bw. X - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Vælg format:

E-bog

9,95 DKK
Minimumsbestilling: 1

Forlagsbeskrivelse af Mchezo na Bw. X - Hadithi Fupi ya Mapenzi af - Olrik

Nilipata ujumbe mfupi. Nisingeuangalia hata kidogo. Nikashika simu yangu na kuzima sauti mapema ili isitatize mkutano. Lakini, singeweza kujizuia kuangalia ujumbe: "Hakuna mwanamke mwingine anaweza kuwa na unyevu na anayebana kama wewe. Inauma sana jinsi mwili wangu unavyokukosa. P." Huo si aina ya ujumbe unaopaswa kupokea kabla ya kuingia katika mkutano muhimu na bosi wako. Unapaswa aje kujadili nyongeza ya mshahara wakati unachofanya tu ni kutabasamu na kufikiria kuhusu kilele cha msisimko wa ngono ulichofikia na bosi wako wa zamani, ambaye kwa ghafla amewasiliana na wewe? Inashangaza jinsi ujumbe mmoja mfupi unaweza kubadilisha ulimwengu wako... Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Olrik ni mwandishi wa hadithi za kutia ashiki ambaye ameandika hadithi kadhaa fupi za kutia ashiki. Hadithi nyingine kutoka kwa mwandishi huyu ni Dirty Doctor, The Nymph and the Fauns, Spanish Summer, Jenny the Pirate na The Red Diamond.

Detaljer

Forlag
LUST
ISBN
9788726242881
Sprog
swa
Originaltitel
Mchezo na Bw. X - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Udgivelsesdato
11-09-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
66 KB
Varenr.
2683817
EAN nr.
9788726242881
Varegruppe
Lydbøger

Bogens kategorier

Klik på en kategori for at se lignende bøger
  • Skønlitteratur og relaterede emnerErotisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteratur
  • Skønlitteratur og relaterede emnerRomantisk skønlitteraturModerne kærlighedshistorier
  • Kvalifikator for aldersniveau og interesserIndeholder eksplicit materiale
  • Anmeldelser af Mchezo na Bw. X - Hadithi Fupi ya Mapenzi

    Brugernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Mediernes anmeldelser
    Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
    Se detaljer her